VIDEO: BANKY W AONGOZA VIDEO YA WIMBO WAKE MAREKANI

VIDEO: BANKY W AONGOZA VIDEO YA WIMBO WAKE MAREKANI

Like
677
0
Wednesday, 07 January 2015
Entertanment

 

BankyW azidi kujiongezea uwezo katika tasnia ya muziki mara baada ya kusomea uandaaji wa filamu na kuanza kuongoza kazi zake mwenyewe

Katika kuthibitisha uwezo wake BankyW ameachia video ya wimbo wake wa Mercy kutoka kwenye albam yake ya R&BW

Filamu ya wimbo huo imefanyika New York huko marekani ambapo ndani yake imeshirikisha waigizaji chipukizi na wanafunzi wa filamu

 

Comments are closed.