Mkali kutoka Nigeria ambae yumo kwenye list ya wasanii manaotengeneza mpunga mrefu D’banj miezi kadhaa nyuma alitangaza bidhaa yake ya KOKO GARRI
katika video ya wimbo mpya kabisa aliotoa D’banj Feeling the Nigga ameonekana zaidi akiutangaza utalii na utajiri wa asili unaopatikana Afrika lakini alienda mbali zaidi kibiashara kwa kuonyesha moja ya bidhaa zake KOKO GARRI
itazame video hapa
http://youtu.be/RE-yyrIR0R8