VIDEO: JE? JUSTIN BIEBER NI CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO KATI YA BIG SEAN NA ARIANA GRANDE

VIDEO: JE? JUSTIN BIEBER NI CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO KATI YA BIG SEAN NA ARIANA GRANDE

Like
300
0
Tuesday, 21 April 2015
Entertanment

Big Sean na Ariana Grande wamwagana baada ya miezi nane ya kuwa kwenye mahusiano na chanzo cha karibu na wasanii hawa kimeeleza kuwa kuachana kwao hakuhusiki kabisa na tukio lilitokea wiki chache nyuma.

 

Katika moja ya show za Ariana Grande wiki kadhaa nyuma alionekena akicheza na Justine Bieber huku akiwa ameshikwa kimahaba na msanii huyo hali iliyozua minong’ono ya hapa na pale huku wengine wakisema wawili hao wapo mbioni kuingia kwenye mahusiano.

 

Tunaelezwa kuwa kuachana kwao ni katika hali ya kawaida pasi na kuwa na ugomvi kati yao bali wameamua kufanya hivyo katika kipindi ambacho kila mmoja yupo safarini kikazi, hivyo kwa sasa wawili hawa ni marafiki na si wapenzi tena

 

Tweet za Big Sean baada ya tukio hilo la Bieber kumshika mpenzi wake ndizo zilizopekea watu kuzungumza mengi kuhusu mahusiano yao

 

“This kid is about to learn not to touch my girl like that.. beliebe that”

Comments are closed.