VIETNAM: BUNGE LAPATA MWENYEKITI WA KWANZA MWANAMKE.

VIETNAM: BUNGE LAPATA MWENYEKITI WA KWANZA MWANAMKE.

Like
295
0
Thursday, 31 March 2016
Local News

Bunge la Vietnam limepiga kura na kumpitisha Nguyen Thi Kim Ngan kuwa mwenyekiti wa bunge hilo kwa ushindi wa asilia 95.5% ya kura zilizopigwa.

Ushindi huo wa Ngan, 61, unamfanya aingie kwenye rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kukamata nafasi hiyo ya uongozi katika taifa hilo.

Kabla ya ushindi huo hapo awali Ngan alikuwa mkurugenzi wa idara ya fedha katika jimbo la nyumbani kwake la Ben Tre

Comments are closed.