VIJANA WAMETAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUKUZA KIPATO

VIJANA WAMETAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUKUZA KIPATO

Like
213
0
Thursday, 15 October 2015
Local News

VIJANA wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii vizuri kwa kuwa mitandao ni jukwaa zuri lenye mitaji mingi ya biashara na endapo ubunifu utatumika vizuri kuna nafasi kubwa ya kutengeneza na kutoa ajira nyingi kwa kuwa ulimwengu unaendeshwa na TEHAMA katika Nyanja mbalimbali.

Akizungumza na Efm Mjumbe wa Vijana Afrika Mashariki, na Mwenyekiti kutoka Mtandao wa Vijana Tanzania TYN Agness Mgongo amesema kuwa Vijana wa Kitanzania wanapata nafasi chache ya kushiriki katika midahalo ya kimataifa kwa kutofahamu au kuwa na matumizi sahihi ya mitandao.

Comments are closed.