VIJANA WANAOJIUNGA NA JKT KUPATIWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

VIJANA WANAOJIUNGA NA JKT KUPATIWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

Like
350
0
Friday, 06 November 2015
Local News

BARAZA la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi NEEC  kwa kushirikiana na jeshi la kujenga  taifa JKT limeanzisha program ya  kutoa mafunzo ya  mtaala maalumu kwa ajili ujasiriamali na uendeshaji wa biashara kwa  vijana wanaojiunga na  jeshi  hilo   kwa kujitolea.

 

Vijana  hao  ambao hawapati ajira wanafikia  elfu 2,hivyo NEEC imeamua kuwaendeleza  kutokana na  mafunzo  ya  elimu za stadi  za maisha wanayopata  wawapo jeshini  kwa kipindi chote cha miaka miwili .

Comments are closed.