VIJANA WATAKIWA KUACHA KUTUMIKA NA BAADHI YA WANASIASA KUVURUGA AMANI

VIJANA WATAKIWA KUACHA KUTUMIKA NA BAADHI YA WANASIASA KUVURUGA AMANI

Like
173
0
Wednesday, 08 July 2015
Local News

VIJANA nchini wametakiwa kuacha kutumiwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa katika kuvuruga Amani ya nchi hususani katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Wakizungumza na kituo hiki waathirika wa dawa za kulevya ambao tayari wameacha matumizi ya dawa hizo wamesema kuwa viongozi wengi wamekuwa wakiwafuata na kuwapa fedha kwa ajili ya kuwalazimisha kuwapigia kura ili wapate nafasi wanazozihitaji.

Aidha wamesema kuwa ni vema vijana kujitambua ili kuepukana na vitendo hivyo kwani viongozi hao wanawatumia wakati wa uchaguzi ambapo baada ya hapo huwa hawawajali.

Comments are closed.