VIJANA wa Vyuo vya Elimu ya Juu na wametakiwa kuachana na fikra potofu za kudhani kuwa Serikali tatu ndio Suluhisho la Kero ya Muungano badala yake wametakiwa kudumisha Muungano kwa Kumuenzi Baba wa Taifa Hayati mwalimu JULIUS NYERERE.
Hayo yamebainishwa Jijini Dar es salaam na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi-CCM Bara PHILIP MANGULA wakati akizungumza katika mkutano wa Vijana Wanafunzi wa vyuo Vikuu.
Kwa upande wake Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho NAPE NNAUYE amevibeza Vyama vya Upinzani na kusema kuwa Tanzania hakuna Upinzani wa kweli vya Vyama vya Siasa
Naye Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa ANNA TIBAIJUKA amewataka wanafunzi hao kumuenzi Baba wa Taifa kwa vitendo kwani …