VIKUNDI VYA ULINZI SHIRIKISHI VIMETAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUFUATA SHERIA

VIKUNDI VYA ULINZI SHIRIKISHI VIMETAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUFUATA SHERIA

Like
703
0
Monday, 02 March 2015
Local News

MKUU wa Polisi Wilaya ya Arusha Mrakibu wa Polisi -SP JUMANNE MULIRO amevitaka vikundi vya ulinzi shirikishi pindi wanapokuwa katika kazi za doria kutowabughudhi wananchi badala yake wanatakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata sheria.

Amesema utendaji bora wa kazi kwa kuzingatia nidhamu na sheria utaongeza imani kwa wananchi hali ambayo itawafanya wajitolee na kuendelea kuvichangia vikundi hivyo hatimaye kuboresha maslahi yao wenyewe na vikundi hivyo kwa ujumla

Hayo yamesemwa wakati wa Uzinduzi wa vikundi viwili vya Ulinzi Shirikishi uliofanyika katika Kata ya Moshono ambapo Jumla ya Askari 50 wa vikundi hivyo wamehudhuria.

U2 U3

Comments are closed.