VIONGOZI WA DINI KUTOKA NCHI 17 AFRIKA WAKUTANA DAR

VIONGOZI WA DINI KUTOKA NCHI 17 AFRIKA WAKUTANA DAR

Like
304
0
Thursday, 03 September 2015
Local News

VIONGOZI wa ngazi ya juu wa dini na wawakilishi wa dini kutoka nchi 17 za mashariki na kusini mwa Afrika wamekutana jijini Dar es salaam, kwa lengo la kujadili na kuweka mikakati ya kuharakisha kumaliza maambukizi mapya ya vvu/ukimwi.

 

Mkutano huo ulioanza jana unafanyika katika hotel ya kunduchi, dar es
salaam, na unaohudhuliwa na zaidi ya viongozi 50 wangazi ya juu wa dini na wawakilishi wa mtandao wa INERELA kutoka nchi 17 za mashariki nakusini mwa afrika ikiwemo Tanzania.

V8

 

Mufti mkuu wa Zambia, Sheikh Assadullah Mwale akifungua kwa dua katika mkutano wa viongozi wa dini wa nchi za mashariki na kusini mwa Afrika uliofanyika jana jijini Dar.

V7

 

Mshereheshaji wa mkutano huo Prof. Venant Nantulya akiwa katika hatua ya uendeshaji wa mkutano wa Viongozi wa ngazi ya juu wa dini katika kupambana na kuweka mikakati ya  kuharakisha kumaliza maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI.(Picha na Geofrey Adroph).

V6

V5

V4

V3

V2

Comments are closed.