VIONGOZI WA DINI NA VYAMA VYA SIASA WAMETAKIWA KUTOTOA MATAMKO YENYE LENGO LA KUVURUGA AMANI

VIONGOZI WA DINI NA VYAMA VYA SIASA WAMETAKIWA KUTOTOA MATAMKO YENYE LENGO LA KUVURUGA AMANI

Like
246
0
Friday, 27 March 2015
Local News

TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation-TIPF, imewataka Viongozi wa dini na Vyama vya siasa kutotoa matamko yenye lengo la kuvuruga Amani iliyopo nchini.

Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Shekhe Sadiki GodiGodi ambapo amesema ni hasara kubwa sana kwa Watanzania watakapo ipoteza amani hiyo.
Amesema TIPF, inalaani matukio yote ya kihalifu pamoja na kauli za baadhi ya viongozi wa dini na vyama vya siasa yanayoashiria kulipeleka Taifa pabaya.

Comments are closed.