VIONGOZI WA NCHI 17 DUNIANI KUKUTANA BANGKOK KUJADILI ONGEZEKO LA WAHAMIAJI HARAMU

VIONGOZI WA NCHI 17 DUNIANI KUKUTANA BANGKOK KUJADILI ONGEZEKO LA WAHAMIAJI HARAMU

Like
181
0
Friday, 29 May 2015
Global News

VIONGOZI wa nchi 17 Ulimwenguni wanakutana mjini Bangkok nchini Thailand kutafuta mbinu bora za kukabiliana na tatizo linalozidi kuongezeka la wahamiaji haramu wanaotoka Myanmar na Bangladesh maeneo ambayo nchi zake zinaoongoza kwa kuwa na idaidi kubwa ya wahamiaji.

Miezi kadhaa iliyopita maelfu ya wahamiaji haramu walitua katika pwani ya mwambao wa bahari ya Indonesia, Malaysia na Thailand.

Hata hivyo wengi wa wahamiaji hao walijikuta wakizama baharini huko nchini Thailand mapema mwezi huu.

 

Comments are closed.