VIONGOZI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO NA KUACHA ITIKADI ZA KISIASA

VIONGOZI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO NA KUACHA ITIKADI ZA KISIASA

Like
258
0
Thursday, 25 December 2014
Local News

 VIONGOZI nchini wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano na kuacha Itikadi za Kisiasa kwani wananchi wanahitaji kuona viongozi wanatatua kero zinazowakabili katika maeneo yao.

Akizungumza na EFM leo Mwenyekiti mpya wa Mtaa wa Mtambani Kata ya Vingunguti kupitia Chama Cha Wananchi -CUF MOHAMED MTUTUMA amesema kuwa kumekuwa na tabia ya baadhi ya viongozi kutoshirikiana na viongozi wa vyama vingine na kujisahau kuwa wanapaswa kuwatumikia wananchi pasipo kuangalia Itikadi zao.

Comments are closed.