VITUMIAJI VYA UZAZI WA MPANGO NI HATARI

VITUMIAJI VYA UZAZI WA MPANGO NI HATARI

Like
295
0
Wednesday, 26 November 2014
Local News

WANAWAKE  nchini  wametakiwa  kuachana  na  matumizi  ya  njia za kisasa  za uzazi wa  mpango na badala  yake watumie njia  asilia ili kuepuka  madhara yatokanayo na  njia za kisasa.

Hayo  yamebainishwa leo jijini Dar es Salaam na  Mkurugenzi  wa shirika  lisilo la kiserikali  la kutetea  uhai  Pro-life wakati   akizungumza  na waandishi wa Habari kuhusiana na masuala ya afya ya uzazi na uzazi salama kwa akina mama.

Amesema  kuwa  shirika hilo limeweka  mikakati ili kuweza  kukabiliana  na  changamoto  mbalimbali  zikiwemo za utoaji mimba, elimu  ya ngono  pamoja na  matumizi  ya  njia  za uzazi  wa  mpango.

 

Comments are closed.