VODACOM YACHANGIA ASILIMIA 2% YA PATO LA TAIFA 2012/2015

VODACOM YACHANGIA ASILIMIA 2% YA PATO LA TAIFA 2012/2015

Like
308
0
Wednesday, 27 April 2016
Local News

IMEBAINISHWA kuwa kwa mwaka 2012/2015 kampuni ya  simu za mkononi ya Vodacom imechangia zaidi ya  shilingi bilioni 3  katika  pato la taifa ambayo ni sawa na asilimia 2 ya pato la Tanzania.

Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es Salaam katika   tathmini iliyofanywa na  KPMG juu ya mchango mpana wa kiuchumi na kijamii ikiwamo ukuzaji wa uchumi,ajira,na kupunguza umaskini,tathmini iliyofanyika kuhusu mtaji na shughuli za uwekezaji kwa kipindi cha mwaka wa fedha  wa  2012/ 2015.

Comments are closed.