VURUGU ZAZUKA KATIKA ZOEZI LA KUAPISHWA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA MANISPAA YA ILALA

VURUGU ZAZUKA KATIKA ZOEZI LA KUAPISHWA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA MANISPAA YA ILALA

Like
421
0
Thursday, 22 January 2015
Local News

KUMETOKEA vurugu leo wakati wa zoezi la kuwaapisha Wenyeviti watatu wa Serikali za mitaa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam.

Chanzo cha vurugu hizo ni baada ya Kaimu Afisa Uchaguzi Manispaa ya Ilala Hilary Baina, kumteua Bwana Mariano Haruna kuwa ni mmoja wa wagombea ambaye amepata nafasi ya Uenyekiti eneo la Kigogo Fresh B kata ya Pugu.

Kwa upande wake mgombea huyo wa Kigogo Fresh B, ambaye fanyiwa vurugu hizo, amekiri kuwa  anastahiri na nimwenyekiti halali kutokana na kufata sheria, misingi na kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

 

 

Comments are closed.