VYAMA VYA SIASA VIMETAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUSHIRIKIANA

VYAMA VYA SIASA VIMETAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUSHIRIKIANA

Like
253
0
Monday, 09 November 2015
Local News

VYAMA vya siasa nchini vimetakiwa kufanya kazi kwa kushirikiana ili kujenga umoja wa kitaifa utakaoleta mshikamano wa kudumu kati ya  viongozi wa vyama hivyo na wafuasi wao.

 

Wito huo umetolewa na diwani wa kata ya Ilala Saady Khimji kweye hafla fupi ya kuwashukuru wananchi kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kupitia nafasi hiyo.

 

Khimji amebainisha kuwa ili kuleta maendeleo katika kata ni vyema kwa kila mwananchi kuhakikisha anatoa ushirikiano wa kutosha kwenye shughuli za maendeleo.

Comments are closed.