VYAMA VYA SIASA VIMETAKIWA KUTEKELEZA WAJIBU WAO KWA MUJIBU WA SHERIA

VYAMA VYA SIASA VIMETAKIWA KUTEKELEZA WAJIBU WAO KWA MUJIBU WA SHERIA

Like
241
0
Friday, 16 January 2015
Local News

MSAJILI wa Vyama Vya Siasa nchini, Jaji FRANCIS  MUTUNGI  amevitaka vyama vyote vya siasa kutekeleza wajibu wao  kwa mujibu wa Sheria , Katiba  na Kanuni  ili kuepusha migogoro.

Aidha  msajili huyo  amevitaka vyama  hivyo  view mfano mzuri wa kwa jamii kwa kudumisha Amani na Utulivu ndani  ya vyama vya siasa.

Kauli hiyo ameitoa leo katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari kufuatia  kuwepo kwa wimbi la migogoro ndani ya  vyama hivyo.

 

Comments are closed.