VYOMBO VYA HABARI VIMEOMBWA KUTOA TAARIFA SAHIHI ZISIZO NA UPENDELEO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

VYOMBO VYA HABARI VIMEOMBWA KUTOA TAARIFA SAHIHI ZISIZO NA UPENDELEO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Like
245
0
Wednesday, 15 July 2015
Local News

VYOMBO vya Habari nchini vimeombwa kutoa taarifa sahihi zisizo na upendeleo ili kuepuka uchochezi katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka huu.

Akizungumza na kituo hiki Mwenyekiti wa Jukwaa la Tiba Asili nchini Bonaventure Mwalongo amesema kuwa vyombo vya habari ndiyo nguzo muhimu katika kulinda Amani ya nchi kupitia shughuli zao.

Amewataka waandishi nchini kuepuka ushabiki na badala yake wawaunganishe watanzania ili wafanye maamuzi sahihi katika uchaguzi mkuu kupitia taarifa sahihi zinazotolewa na vyombo vyao.

Comments are closed.