WAANDISHI WA HABARI NCHINI WAMETAKIWA KUJIENDLEZA KIELIMU

WAANDISHI WA HABARI NCHINI WAMETAKIWA KUJIENDLEZA KIELIMU

Like
243
0
Thursday, 26 March 2015
Local News

WAANDISHI wa Habari nchini wametakiwa kujiendeleza Kielimu ili kukuza wigo wa Taaluma yao.

Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya habari Maelezo,ASSAH MWAMBENE ,wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari, kwenye mafunzo ya siku Tano,kuhusu Matumizi ya Mitandao chini ya Ufadhili wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania-TMF.

MWAMBENE amewataka Waandishi hao kuhakikisha wanajiendeleza Kielimu ili kukuza uwezo wao wa kazi.

 

 

Comments are closed.