WABUNGE KUKUTANA KENYA KUJADILI UHABA WA FEDHA

WABUNGE KUKUTANA KENYA KUJADILI UHABA WA FEDHA

Like
240
0
Thursday, 08 October 2015
Global News

WABUNGE nchini Kenya wanakutana katika kikao cha dharura ili kujadili ni kwa nini serikali haina fedha.

Malipo muhimu hayajafanywa na hivyo kuathiri wizara nyingi na huduma kwa umma pamoja na bunge lenyewe ambalo umeme umekatwa kwa siku kadhaa.

Hatua hiyo imesababisha huduma za maji na usafi kuzorota na wabunge wanasema kuwa hali hiyo haikubaliki.

Comments are closed.