WABUNIFU WA NDEGE WATAKIWA KUOMBA VIBALI

WABUNIFU WA NDEGE WATAKIWA KUOMBA VIBALI

Like
578
0
Wednesday, 20 July 2016
Local News

Licha ya kuwapo kwa wabunifu kadhaa za ndege na magari, huku wananchi wakitaka Serikali iwaunge mkono kwa kuwawezesha, huenda wengi wao wasifikie ndoto zao.

Tayari mkazi wa Tunduma mkoani Songwe, Adam Kimikile (34) aliyetengeneza helikopta ni kama amepigwa ‘stop’ na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kujihusisha na utengenezaji au ubunifu wa ndege bila kufuata taratibu.

TCAA imesema anayetaka kutengeneza ndege ama vifaa vyake, azingatie kanuni za usafiri wa anga na kupata kibali cha mkurugenzi wake mkuu na hatua zinazopaswa kuzingatiwa.

Comments are closed.