WACHINA 15 MBARONI KWA KUGUSHI

WACHINA 15 MBARONI KWA KUGUSHI

Like
156
0
Friday, 29 May 2015
Global News

RAIA 15 wa China wamefunguliwa mashitaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu wa matokeo na nyaraka za kitaaluma walizozitumia kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani.

Kwa mjibu wa waendesha mashtaka nchini humo,wamebaini kuwa vijana hao wa China wamefanya udanganyifu wa kutumia simu wakati wa majaribio ya kujiunga na vyuo hivyo.

Iwapo watakutwa na hatia kutokana na tuhuma hizo,raia hao wa China watafungwa hadi miaka 20 jela.

 

Comments are closed.