WADAU WA MAENDELEO WAANDAA MPANGO KUSAIDIA VIJANA KUENDANA NA SOKO LA AJIRA

WADAU WA MAENDELEO WAANDAA MPANGO KUSAIDIA VIJANA KUENDANA NA SOKO LA AJIRA

Like
213
0
Thursday, 17 September 2015
Local News

KUTOKANA na  tatizo la  ajira hususani kwa vijana ambalo hivi sasa ni zaidi ya asilimia 13, wadau  mbalimbali wa maendeleo kwa kushirikiana na watafiti  nchini wanatarajia kuandaa mpango maalum utakaowasaidia vijana  kuendana na soko la ajira ili waweze kupata ajira kwa urahisi.

Wadau hao  pamoja na baadhi ya vijana wanaotafuta ajira na wale waliojiajiri katika sekta mbalimbali wamekutana leo jijini Dar es salaam kwa  lengo la  la kujadili  na kuangalia namna tafiti  mbalimbali zinzavyoweza  kusaidia kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira hususani kwa vijana.

Comments are closed.