WADAU WA MAENDELEO YA ELIMU WASHAURIWA KUTOA VIFAA VYA KUJIFUNZIA NA KUFUNDISHIA

WADAU WA MAENDELEO YA ELIMU WASHAURIWA KUTOA VIFAA VYA KUJIFUNZIA NA KUFUNDISHIA

Like
296
0
Friday, 08 April 2016
Local News

WADAU wa Maendeleo ya Elimu nchini wameshauriwa kutoa vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa walimu na wanafunzi wa shule mbalimbali nchini ili kukuza kiwango cha elimu nchini.

 

Aidha wameshauriwa pia kuboresha miundombinu ya shule hali ambayo itaboresha pia mazingira ya kujifunzia.

 

Ushauri huo umetolewa na Mbunge wa Segerea Bonna Kaluwa mara baada ya kukabidhi msaada wa kompyuta kwenye shule ya sekondari ya Binti Mussa iliyopo Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam.

 

 

Comments are closed.