WADAU WAKUTANA KUTAHMINI NA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA YA AFYA

WADAU WAKUTANA KUTAHMINI NA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA YA AFYA

Like
209
0
Wednesday, 26 August 2015
Local News

KATIKA kuboresha huduma za afya nchini Wadau mbali mbali wa maswala ya afya wamekutana kutathmini  utoaji huduma na kutazama namna ya kuboresha utoaji huduma za afya kwa Watanzania.

 

Wadau hao wamekutana katika kongamano la tano la kitaifa la kuboresha huduma za afya  lililoanza leo jijini Dar es salaam linalotarajia kuchukua siku mbili likiwa limeaambatana na maonyesho ya vifaa na huduma mbali mbali zinazotolewa na taasisi za serikali na zile za binafsi zinazojishughulisha na maswala ya afya nchini.

Comments are closed.