WAFUASI WA MUSEVENI NA MBABAZI WAPIGANA

WAFUASI WA MUSEVENI NA MBABAZI WAPIGANA

Like
196
0
Friday, 14 August 2015
Global News

WAFUASI wa rais Yoweri Museveni wamewashambulia wafuasi wa Amama Mbabazi nyumbani kwake katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Kampala.

Vijana hao waliokuwa wamevalia shati zenye maandiko ya kumuunga mkono rais Museveni walishambulia boma la kiongozi huyo ambaye ameahidi kuwania kiti cha urais dhidi ya rais Museveni katika uchaguzi mkuu ujao.

Vijana hao walimtuhumu waziri huyo mkuu wa zamani kwa kuwapa ahadi hewa kuwa angewapa kazi.

Comments are closed.