WAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI

WAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI

Like
210
0
Tuesday, 03 November 2015
Local News

WATUMISHI wa umma nchini wenye ujuzi kwenye suala la ukaguzi, wametakiwa kutumia weledi katika utendaji kazi zao hali ili kuongeza ufanisi katika usimamizi wa rasilimali za umma.

 

Wito huo umetolewa na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi Wendy Massoy wakati akifungua mafunzo ya program ya TEAMMATE kwa ajili ya wakaguzi kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi na Wizara ya Fedha.

 

Bi Massoy amesema, viwango vya ukaguzi Kimataifa vinahitaji mkaguzi kuhifadhi taarifa zake za ukaguzi vizuri ili kuwezesha mkaguzi mwengine kuweza kufikia hitimisho moja kulingana na kazi iliyofanywa.

 

Comments are closed.