WAKAZI WA KATA YA KIBURUGWA WAMEIOMBA SERIKALI KUWAPATIA HUDUMA ZA KIJAMII

WAKAZI WA KATA YA KIBURUGWA WAMEIOMBA SERIKALI KUWAPATIA HUDUMA ZA KIJAMII

Like
297
0
Wednesday, 12 August 2015
Local News

WAKAZI wa kata ya Kiburugwa wilaya ya temeke jijini Dar es salaam wameiomba serikali kuwapatia huduma za kijamii ili kuboresha na kupunguza ghalama za maisha.

 

Akizungumza na kituo hiki mmoja kati ya wakazi wa mtaa wa barabara ya mwinyi wilayani hapo bwana SELEMANI KASAPILA ameainisha baadhi ya huduma wanazo zikosa kuwa ni papoja na kutokuwepo kwa barabara na kituo cha polisi.

 

Aidha mwenyekiti wa mtaa huo Bwana JUMA ALI NGONYANI amekiri kuwa shughuli nyingi za maendeleo katika kata hiyo zimekuwa zikifanywa na wananchi bila serikali kuwaunga mkono.

 

Comments are closed.