WAKAZI WA KIMARA MICHUNGANI WAPO HATARINI KUKUMBWA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

WAKAZI WA KIMARA MICHUNGANI WAPO HATARINI KUKUMBWA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

Like
412
0
Wednesday, 15 October 2014
Local News

BAADHI ya wakazi wa eneo la Michungani Kimara Jijini Dar es salaam wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko baada ya Mto unaopita karibu na nyumba zao kutiririshwa maji machafu ambayo yamechanganyika na harufu kali inayotoka machinjio ya Kimara katika eneo hilo.

Wakizungumza na EFM wakazi hao wamesema kuwa kutokana na hali hiyo wanalazimika kuwafungia ndani watoto wao ili kuwaepusha na madhara mbalimbali ya ki afya

Wanananchi…Kimara

Hata hivyo kituo hiki kilizungumza na Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Makaroni bwana Musa Mohamed Chuma….

Uongozi wa Mtaaa

Comments are closed.