WAKAZI WA KINONDONI DAR WATAKIWA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA KWA UTULIVU NA AMANI

WAKAZI WA KINONDONI DAR WATAKIWA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA KWA UTULIVU NA AMANI

Like
196
0
Wednesday, 01 April 2015
Local News

WAKAZI wa Kinondoni mkoani Dar es salaam,wametakiwa kusherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa Utulivu na Amani bila kufanya fujo.

Hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, AUGUSTINO SENGA,wakati akizungumza na Efm,ofisini kwake.

Kamanda SENGA amesema ni vema wananchi kutumia Sikukuu hiyo kwa kusherehekea kwa Amani na Utulivu na kurejea nyumbani, kwani kinyume na hapo, jeshi la polisi litawachukulia hatua.

 

Comments are closed.