WAKULIMA WA CHAI WATAKIWA KUTUMIA MBEGU MPYA ZILIZOFANYIWA UTAFITI

WAKULIMA WA CHAI WATAKIWA KUTUMIA MBEGU MPYA ZILIZOFANYIWA UTAFITI

Like
300
0
Wednesday, 19 November 2014
Local News

 

MKURUGENZI wa Umoja wa Wakulima wa Chai Rungwe –RSTGA LEBI GABRIEL ameeleza kuwa Wakulima wa zao hilo wanatakiwa kutumia mbegu mpya zilizofanyiwa utafiti wa Kitaalamu ili waweze kupata mazao bora zaidi.

GABRIEL ametoa kauli hiyo alipotembelea Shamba la Chai la Kimbila lililopandwa Mbegu mpya za Chai.

Amebainisha kuwa Mbegu hizo mpya za kisasa zitamsaidia Mkulima kuondokana na umasikini pindi atakapoanza kilimo chenye tija kwa sababu zinazaa zaidi kuliko mbegu nyingine.

 

Comments are closed.