WAKURUGENZI WANNE MSD WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA

WAKURUGENZI WANNE MSD WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA

Like
273
0
Monday, 15 February 2016
Local News

WAZIRI wa afya maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi wakurugenzi wanne kutoka Bohari ya Dawa ya Taifa-MSD- kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha takribani shilingi Bilioni 1.5.

 

Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam leo katika kitengo cha Afya ya mama na mtoto baada ya kupokea vifaa kutoka Bohari kuu ya Taifa ya dawa, waziri Ummy amesema amefanya maamuzi hayo kufuatia kupokea taarifa ya uchunguzi ofisini kwake juu ya ubadhilifu wa kiasi hicho cha fedha.

Comments are closed.