WAKZI WA SHANGHAI WAUPOKEA MWAKA MPYA KWA MAJONZI

WAKZI WA SHANGHAI WAUPOKEA MWAKA MPYA KWA MAJONZI

Like
284
0
Thursday, 01 January 2015
Global News

SHEREHE ZA KUUPOKEA mwaka mpya 2015 zimegeuka kuwa majonzi baada ya watu35 kufa kwenye taharuki ya kukanyagana kwenye msongamano wakati wakiiupokea mwaka mpya.

Maafa hayo yametokea katika mji Shanghai ambapo maelfu ya watu walikuwa wamekusanyika ili kuupokea mwaka mpya.

Chanzo cha taharuki hiyo bado haijafamika lakini vyombo vya habari vya nchi hiyo vimenukuliwa vikisema imetokana na maelfu ya watu kuzuiwa kugombea fedha bandia zilizotupwa eneo hilo kutoka katika jengo moja.

Comments are closed.