WALIMU KENYA WATII AGIZO LA MAHAKAMA

WALIMU KENYA WATII AGIZO LA MAHAKAMA

Like
249
0
Monday, 05 October 2015
Global News

 

IKIWA leo ni Siku ya Walimu Duniani, Shule nchini Kenya zimefunguliwa tena baada ya walimu kusitisha mgomo wao uliokuwa umedumu kwa wiki tano.

Vyama viwili vinavyotetea walimu nchini humo vilitangaza mwishoni mwa wiki kwamba zitatii agizo la mahakama la kuwataka walimu warudi shuleni.

Walimu takriban 280,000 walikuwa wamegoma kuishinikiza serikali iwalipe nyongeza ya mishahara ya asilimia 50 hadi 60.

Comments are closed.