WALIOFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA KUPANGIWA SHULE

WALIOFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA KUPANGIWA SHULE

29
11720
0
Thursday, 18 December 2014
Local News

WANAFUNZI waliofaulu mtihani wa darasa la Saba wanatarajiwa kupangiwa shule kuendelea na Elimu ya Sekondary muda wowote kuanzia leo.

Habari za kuaminika zimeeleza kuwa majina ya Wanafunzi na shule walizopangiwa yatatangazwa leo ikiwa ni maandalizi ya kuanza kidato cha kwanza mwakani.

Wanafunzi laki nane na elfu nane mia moja kumi na moja wa shule za msingi nchini wamefanya mtihani wa kumaliza darasa la Saba September 9 mwaka huu idadi ambayo ni pungufu kulinganisha na waliomaliza mwaka jana ambao walikuwa 844,938.

 

 

Comments are closed.