WANADIPLOMASIA KUANDAA RIPOTI YA USALAMA ISRAEL NA PALESTINA

WANADIPLOMASIA KUANDAA RIPOTI YA USALAMA ISRAEL NA PALESTINA

Like
203
0
Monday, 15 February 2016
Global News

WANADIPLOMASIA wa mataifa manne wapatanishi katika amani ya Mashariki ya Kati wamesema wataandaa ripoti kuhusu hali ya sasa ya usalama kati ya Israel na Palestina huku wakiangazia zaidi kuanza tena kwa mazungumzo ya amani.

Baada ya kukutana mjini Munich, Marekani, Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na Urusi, zimesema ripoti hiyo itajumuisha mapendekezo ambayo yanaweza kusaidia kuyajulisha mazungumzo ya kimataifa kuhusu njia bora ya kupatikana kwa suluhisho la mataifa hayo mawili.

Comments are closed.