WANAFUNZI KUMI KUTOKA MAREKANI WAMEWASILI NCHINI KWA ZIARA YA MAFUNZO

WANAFUNZI KUMI KUTOKA MAREKANI WAMEWASILI NCHINI KWA ZIARA YA MAFUNZO

Like
252
0
Thursday, 08 January 2015
Local News

WANAFUNZI 10 kutoka vyuo Vikuu vya Bufalo na Empire vya Marekani wamewasili nchini kwa ziara ya mafunzo kwa mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Mheshimiwa ABBAS MTEMVU.

 Akizungumza na Waandishi wa habari Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam mara baada ya kuwapokea Wanafunzi hao ambao wanaongozwa na Profesa DAN NYARONGA, Mbunge wa Temeke ABBAS MTEMVU amesema wageni hao watapata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali iliyopo katika Jimbo lake pamoja na Kampuni yake ya Bravo Job Centre Agency Ltd.

Comments are closed.