WANAFUNZI NCHINI WAMETAKIWA KUWEKEZA KATIKA ELIMU

WANAFUNZI NCHINI WAMETAKIWA KUWEKEZA KATIKA ELIMU

Like
207
0
Tuesday, 15 September 2015
Local News

WANAFUNZI kote nchini wametakiwa kuwekeza katika elimu, pamoja na kufanya kazi kwa juhudi ili wanufaike katika maisha yao ya sasa na baadae sanjari na kuliletea Taifa maendeleo.

 

Hayo yamesemwa na Mkuu wa utawala na uongozi wa chuo cha Habari maalum Ernest Karata wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo cha Full Bright college kilichopo Ngaramtoni wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Akizungumza katika mahafali hayo mkurugenzi mtendaji  wa chuo hicho Julius Matiko amewaasa wahitimu kutumia elimu waliyoipata katika kuhakikisha wanatimiza malengo waliojiwekea.

Comments are closed.