WANAFUNZI WAPONGEZA MFUMO WA DIVISHENI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

WANAFUNZI WAPONGEZA MFUMO WA DIVISHENI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

Like
307
0
Friday, 19 February 2016
Global News

BAADA ya  Baraza la mitiani Tanzania NECTA kutangaza Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 ,Wanafunzi wa shule ya sekondari pamba jijini Mwanza wameeleza kufurahishwa kwa mfumo wa ufaulu wa divisheni tofauti na mfumo uliokuwepo wa GPA .

Wakizungumza na Efm baadhi ya wananfunzi hao wamesema kuwa matokeo hayo yanaonyesha namna mfumo wa divisheni unavyo pima uwezo wa wanafunzi darasani.

Wakizungumzia mfumo wa GPA wamesema mfumo huo ulikuwa unawafanya wanafunzi kuzembea katika masomo yao wakiamini kuwa watafaulu hali ambayo imekuwa kinyume na matarajio yao.

Comments are closed.