WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM VYUO VIKUU WAMEASWA KUTUMIA ELIMU KUJILETEA MAENDELEO

WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM VYUO VIKUU WAMEASWA KUTUMIA ELIMU KUJILETEA MAENDELEO

Like
444
0
Monday, 23 November 2015
Local News

WANAFUNZI wenye mahitaji maalum wanaosoma vyuo vikuu nchini wameaswa kutumia elimu wanayoipata ili kuendesha maisha yao na kujiletea maendeleo yao na taifa kwa ujumla.

 

Hayo yamesemwa na Mgeni rasmi wakati wa Mahafali ya nane ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaama (DUCE) Profesa  Martha Qorro yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es salaaam.

 

Profesa Qorro amesema kuwa mwamko wa wanafunzi wenye mahitaji maalum kujiunga na elimu ya juu nchini ni mzuri licha ya changamoto zinazowakumba wanafunzi hao wanapokuwa vyuoni.

UD22 UD2

Comments are closed.