WANAJESHI 180 WA KENYA WALIUAWA NA AL-SHABAB

WANAJESHI 180 WA KENYA WALIUAWA NA AL-SHABAB

Like
240
0
Thursday, 25 February 2016
Global News

RAIS wa Somalia Hassan Sheikh Mohamoud ametoa maelezo kuhusu idadi ya wanajeshi wa Kenya waliofariki kufuatia shambulio la al-Shabab katika kambi yao huko el-Adde mwezi uliopita.

 

Rais huyo ametoa idadi hiyo kuwa kati ya wanajeshi 180 na 200 katika mahojiano na runinga moja ya Somali ,Cable TV.

 

Wapiganaji hao wa al-Shabab wamesema kuwa wanajeshi 100 walifariki na Kenya bado  haijatoa idadi yoyote ya wanajeshi wake waliofariki.

Comments are closed.