WANANCHI IRINGA WAMETAKIWA KUFUATILIA TAARIFA ZA MAMLAKA YA HALI YA HEWA KUEPUKA MADHARA

WANANCHI IRINGA WAMETAKIWA KUFUATILIA TAARIFA ZA MAMLAKA YA HALI YA HEWA KUEPUKA MADHARA

Like
197
0
Friday, 16 October 2015
Slider

WANANCHI mkoani Iringa wametakiwa kufuatilia taarifa zinazotolewa na mamlaka ya hali ya hewa ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza.

Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi wa utafiti na matumizi wa mamlaka ya hali ya hewa DR. LADISLAUS  CHANG’A  alipokuwa akitoa mafunzo ya namna ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa katika shule za sekondari mwembetogwa na Efatha mkoani humo.

Aidha ameongeza ili kuepukana na janga la mabadiliko ya hali hewa wananchi wanatakiwa kupanda miti mingi katika maeneo yao.

Comments are closed.