WANANCHI KATIKA JIMBO LA NKASI WAHAKIKISHIWA USAMBAZAJI WA UMEME

WANANCHI KATIKA JIMBO LA NKASI WAHAKIKISHIWA USAMBAZAJI WA UMEME

Like
215
0
Wednesday, 08 July 2015
Local News

WIZARA ya Nishati na Madini nchini imewahakikishia wananchi wa jimbo la Nkasi kuwa ipo tayari kusimamia vyema suala la ujenzi wa mradi usambazaji wa umeme katika kipindi kifupi kijacho.

Ahadi hiyo imetolewa leo Bungeni na Naibu waziri wa wizara hiyo mheshimiwa CHARLES MWIJAGE wakati akijibu swali la mheshimiwa ALLY KESSY aliyetaka kufahamu mikakati ya serikali juu ya utekelezaji wa suala hilo.

Mheshimiwa Mwijage amesema kuwa ili kuhakikisha mradi huo unakamilika mapema serikali imejipanga kuwatumia  wataalamu wazawa katika kukamilisha shughuli hiyo.

Comments are closed.