WANANCHI KUNUFAIKA NA UVUVI KWENYE BWAWA LA MTERA

WANANCHI KUNUFAIKA NA UVUVI KWENYE BWAWA LA MTERA

Like
552
0
Monday, 25 April 2016
Local News

WANANCHI wanaoishi kando ya bwawa la mtera mkoani Iringa wataendelea kunufaika na shughuli za uvuvi kutokana na bwawa hilo kujaa maji.

Wakizungumzia kujaa huko kwa maji baadhi ya Wavuvi wamesema hali ya uchumi wao imeanza kutengemaa tofauti na ilivyokuwa awali kwa kuwa Samaki wameanza kupatikana kwa wingi.

Nao wafanyabiashara wa Samaki wamesema bei ya samaki inaendelea kushuka kutokana na Samaki kupatikana kwa wingi.

Comments are closed.