WANANCHI NA MADEREVA WA DALADALA WAMEIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU KATIKA VITUO VYA MAWASILIANO NA MAKUMBUSHO

WANANCHI NA MADEREVA WA DALADALA WAMEIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU KATIKA VITUO VYA MAWASILIANO NA MAKUMBUSHO

Like
329
0
Wednesday, 23 March 2016
Local News

WANANCHI na madereva katika vituo vya daladala vya Makumbusho na Mawasiliano, wameiomba serikali kutengeneza barabara ziingiazo katika vituo hivyo kwani ni mbovu na zinasababisha uharibifu wa magari.

Wakizungumza na efm baadhi ya madereva hao wamesema kuwa barabara hizo ni finyu na mbovu hususani zinazoingia katika kituo cha makumbusho ambazo pamoja na Serikali kumwaga vifusi lakini kwa mvua iliyonyesha leo imekuwa ni kero ya tope kwa waenda kwa miguu.

Comments are closed.