WANANCHI WAISHAURI SERIKALI KUFANYIA KAZI RIPOTI YA KAMATI TEULE YA YA BUNGE KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI

WANANCHI WAISHAURI SERIKALI KUFANYIA KAZI RIPOTI YA KAMATI TEULE YA YA BUNGE KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI

Like
360
0
Monday, 09 February 2015
Local News

KUFATIA Kamati Teule ya Bunge Kuwasilisha Ripoti ya Uchunguzi juu ya namna ya kushughulikia migogoro ya ardhi iliopo baina ya Wakulima,Wafugaji na Wawekezaji iliyofatiwa na hoja mbali mbali za Wabunge, baadhi ya Wananchi wameitaka Serikali kuharakisha kuifanyia kazi ripoti hiyo huku wakishauri kutafuta maeneo maalumu katika mapori kwa ajili ya wafugaji ili kunusuru maisha.

Wakizungumza na EFM jijini Dar es salaam kwa nyakati tofauti Wananchi hao  wamesema ripoti imepitia changamoto nyingi zilizopo baina ya wakulima,Wafugaji na Wawekezaji hivyo ikifanyiwa kazi italeta manufaa.

 

Comments are closed.