WANANCHI WAMETAKIWA KUWA MAKINI NA KUZINGATIA MATUMIZI SALAMA YA MITANDAO

WANANCHI WAMETAKIWA KUWA MAKINI NA KUZINGATIA MATUMIZI SALAMA YA MITANDAO

Like
194
0
Monday, 31 August 2015
Local News

IKIWA Zimebaki saa chache  kuanza kutumika kwa sheria ya makosa ya mitandao na miamala ya kielektroniki, Watanzania Nchini wametakiwa kuwa makini na Kuzingatia matumizi salama na sahihi ya mitandao ili kujiepusha na adhabu zitakazo tolewa kwa yeyote atakaye kiuka sheria hiyo

Akizungumza na waandishi wa habari leo, jijini Dar es salaam, Waziri wa Mawasiliano ya Sayansi na Technolojia PROFESA MAKAME MBARAWA amesema  kuwa Sheria hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza na hatimaye kuondoa kabisa matumizi mabaya ya mitandao na kwamba Serikali ina imani na sheria hii kuwa itakuwa ni hatua moja ya kimaendeleo Nchini

Comments are closed.