WANANCHI WATAHADHARISHWA KUWA MAKINI NA WATU WANAOCHOCHEA CHUKI

WANANCHI WATAHADHARISHWA KUWA MAKINI NA WATU WANAOCHOCHEA CHUKI

Like
199
0
Tuesday, 08 September 2015
Slider

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha wananchi kuwa makini na watu wanaochochea chuki miongoni mwa jamii.

Balozi Seif Ali Iddi ametoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na wananchi katika kijiji cha Kwale wilaya ya micheweni mkoa wa kaskazini Pemba ikiwa ni moja ya kukamilisha ahadi yake ya kuwatembelea wananchi hao.

Akiwa kijijini hapo Balozi Seif amesema kuwa wapo watu wenye fikra potofu ambao wamechoka kuona Taifa likiwa na Amani hivyo wanatumia njia mbalimbali za uchochezi ili kuivuruga jambo ambalo halitavumiliwa na serikali.

317

Comments are closed.