WANANCHI WATAKIWA KUHAKIKISHA WATOTO WANAPATIWA CHANJO

WANANCHI WATAKIWA KUHAKIKISHA WATOTO WANAPATIWA CHANJO

Like
247
0
Tuesday, 02 February 2016
Local News

WIZARA ya afya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto imewataka wananchi kuhakikisha wana wapeleka watoto wote kwenye vituo husika vya Afya ili wapatiwe Chanjo na kinga ya kichocho ili kuwanusuru na ugonjwa wa kichocho.

Rai hiyo imetolewa keo jijini Dar es salaamu na mratibu wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele Pendo Mwingira ambapo amesema wizara ya afya kwa kushirikiana na shirika la afya duniani WHO limeaamua kutoa chanjo ya kumkinga mtoto dhidi ya Ugonjwa wa kichocho kwa kuwa huwaathiri zaidi watoto.

MWINGIRA ameongeza kuwa kimga hiyo itatolewa Februari Nne mwaka huu Jijini Dar es alaamu kwa siku moja katika shule za misingi zote na vituo vya kulelea watoto ili kutoa nafasi kwa watoto kujitokeza kwa wingi.

Comments are closed.